Inatoa mafunzo yanayohusiana na ujuzi wa vitendo kupitia kozi za vyeti, warsha, na mafunzo kwa vitendo.
Inakuza maadili imara, uamuzi wa kimaadili, na uongozi kupitia ushirikishwaji wa jamii na warsha za maendeleo ya tabia.
Inakuza ustadi wa lugha katika Kiswahili, Kiingereza, Kiarabu, na nyinginezo.
Inahamasisha ubunifu na ujasiriamali kupitia mbinu za kuendeleza biashara changa, warsha za ubunifu, n.k.
Inahamasisha ubunifu na ujasiriamali kupitia mbinu za kuendeleza biashara changa, warsha za ubunifu, n.k.
"Tunajivunia kuwasilisha baadhi ya miradi na matukio muhimu ambayo Ikhla imefanikisha. Miradi hii inaonyesha dhamira yetu ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii kupitia elimu, uchumi, na maendeleo."
Wanafunzi wa Darasa la Maadili wakifanya ziara za Kimasomo katika Skuli ya Sekondari ya Kiislamu Ambasha iliopo Shengejuu kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana na mawazo na wanafunzi wenziwao.
Wanafunzi wa Programu ya Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK) wakifanya mitihani yao ya kuwapima uelewa wao katika somo la EDK katika kuwanoa kufanya vyema kwenye mitihani yao ya mwisho ya kitaifa.
IKHLA, kwa kushirikiana na wadau wa elimu, inaendesha Semina Elekezi kwa wanafunzi wa sekondari ili kuwaandaa kwa chuo, taaluma, na maisha ya kijamii kupitia mwongozo wa kitaaluma, ujasiriamali, na motisha ya maisha.
Programu ya Iftaar Swaimiina ya IKHLA huandaliwa kila Ramadhani kwa lengo la kutoa futari kwa mayatima, wanafunzi, walimu na jamii, huku ikikuza mshikamano, ukarimu wa Kiislamu na moyo wa kusaidiana.
wanafunzi wa Programu ya Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK) wakifanya mitihani yao ya kuwapima uelewa wao katika somo la EDK katika kuwanoa kufanya vyema kwenye mitihani yao ya mwisho ya kitaifa.
Usikose matukio muhimu yanayokuja hivi karibuni katika IKHLA.
Muda: 09:00 AM - 01:00 PM
Muda: 10:00 AM - 03:00 PM
Muda: 08:30 AM - 12:00 PM